Kocha wa Argentina atema kibarua
Kocha wa Timu ya Taifa ya Argentina ambayo ilipigwa na Chile katika Fainali
za Copa America amebwaga manyanga.
Gerardo Martino mwenye miaka 53 katika taarifa yake ya kuondoka amesema
moja ya sababu ni kutokana na kuwapo kwa matatizo katika kuchagua kikosi
cha kushiriki Olimpiki.
Gerardo amekuwa mwalimu wa Argentina tangu mwaka 2014 baada ya
kuifundisha Barcelona huko nyuma.
No comments