MAONYESHO YA 23 YA WAKULIMA NA WAFUGAJI 2016
Baadhi ya Mabanda yakiwa yamekamilika tayari kwaajili ya maonyesho ambayo yanatarajiwa kuanza rasmi siku ya jumatatu,katika viwanja vya nanenane njiro Mkoani Arusha.
Zana za kilimo Zikiwa tayari kabisa kwaajili ya maonyesho katika viwanja vya nanenane Njiro Jijini Arusha.
Mashine pamoja na trekta kwaajili yakilimo tayari vimeshawasilishwa viwanjani hapo tayari kwa maomyesho yanayotarajiwa.kuanza tar 1/8/2016, katika viwanja vya nanenane njiro Jijini Arusha.
Maandaizi ya maonyesho 23 ya wakulima wafugaji,na sikukuu za nanenane zimepamba moto huku kauli mbiu ya maonyesho hayo ikiwa ni Kilimo, Mifugo na Uvuvi, ni nguzo ya maendeleo,Vijana shiriki kikamilifu hapa kazi tu.
Hayo yamesemwa na Katibu wa Taso Kanda ya Kaskazini ndugu Jeremia Solomon Sembosi ambapo wanatazamia maonyeshobya mwaka huu kuwa na washiriki wengi zaidi,huku Mkuu wa mkoa wa Arusha Daud Filex Ntibenda ndiye anayetazamiwa kufungua maonyesho hayo.
Aidha manyesho hayo ya wakulima na wafugaji pamoja na sherehe za nanenane yanatarajiwa kuanza hapo kesho Siku ya jumatatu 2016 katika viwanja vya Taso nanenane Njiro Jijini Arusha .
No comments