NECTA yatangaza matokeo ya Form Six



Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) leo limetangaza matokeo ya kidato cha 6
ambapo ufaulu kwa masomo ya Sayansi umeshuka.

Matokeo ya mwaka huu yameshuka kwa asilimia 0.93 ambapo mwaka 2015
ufaulu ulikuwa asilimia 98.87 na mwaka huu 2016 ni asilimia 97.94
Aidha Watahiniwa 71,551 sawa na asilimia 97.32 ya waliofanya mtihani
wamefaulu


Tizama matokeo yote hapa



No comments