Huyu hapa mtoto mnene zaidi duniani

Mtoto wa miaka 10 kutoka Indonesia, ambaye ametajwa kuwa mtoto
aliyenenepa zaidi duniani ameanza kupewa chakula cha kupunguza uzani kwa
kuwa wazazi wake wanahofia afya yake.

Arya Permana ana uzani wa kilo 188 na ameorodheshwa kuwa na unene usio
wa kawaida.

Kulingana na BBC mama wa Rokayah amesema ana wasiwasi sana kuhusu afya
ya mwanawe.

No comments