Balozi wa Sierra Lione atekwa Nigeria


Naibu balozi wa Sierra leone nchini Nigeria ametekwa nyara, kulingana na BBC.
Maafisa wa Sierra Leone's wanasema Nelson Williams alitekwa nyara akiwa
katika jimbo la Kaduna.

Hata hivyo maafisa wa Nigeria wanasema haijbainika wazi mahali ambapo
utekaji huo ulifanyika.

Haijulikani ni akina nani waliomteka nyara balozi huyo, japo wametaka kulipwa
kikombozi.

No comments