AJALI YA MOTO
| Basi la Ratco lenye namba za usajili T192 DHW likiwa linateketea kwa moto katika kata ya Bukabwa wilaya ni Butiama mkoa wa Mara leo,basi hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime -Sirari na Mwanza chanzo cha moto huo bado hakijafahamiaka taarifa za awali kutoka kwa mashuhuda wa ajali pamoja na abiria wanasema kuwa baadhi ya malli za abiria zimeteketea kwa moto,hakuna aliyepoteza maisha .Picha na Cleo 24 News |
| Basi la Ratco likiwa linateketea kwa moto |
| Basi la Ratco likiwa linaendelea limeteketea kwa moto |
No comments