RAIS MAGUFULI ASAINI MUSWADA WA SHERIA YA VYOMBO VYA HABARI

 

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa ilmeeleza kuwa Rais Magufuli amesaini sheria hiyo jana tarehe 16 Novemba 2016  na kuwapongeza wadau wote kwa kufanikisha kutungwa kwake.Novemba 4 mwaka huu Rais Magufuli katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini alisema kuwa mara tu sheria hiyo itakapofikishwa kwake ataisaini mara moja.

No comments