Nuh Mziwanda Afunga Ndoa Rasmi na Mrembo Huyu Hapa.
Mkali
wa wimbo Jike Shupa, Nuh Mziwanda ameingia kwenye list ya mastaa wa
bongofleva waliofunga ndoa mwaka 2016 baada ya kufunga ndoa na mpenzi
wake wa muda mrefu aitwae Nawal.Muimbaji huyo ambaye zamani alikuwa anatoka kimapenzi na Shilole amefunga ndoa kimya kimya huku akijiandaa kwa ajili ya kufanya sherehe kubwa.
Nuh Mziwanda na Mkewe Nawal.
No comments