MAJALIWA AZUGUMZA NA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NA WAKUU WA MAPORI YA HIFADHI ZA MISITU

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao alichokiitisha kati yake
na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa
Mapori ya Hifadhi za Mistitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21,
2016. Kulia kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne
Maghembe.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akizungumza katika
Mkutano ulioitishwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kati yake na
Watendaji Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya
Hifadhi za Misitu, Ofisini kwake mjiniDodoma Novemba 21, 2016.
Baadhi
ya Watendaji Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori
ya Hifadhi za Misitu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza nao Ofisini kwake mjini Dodoma, Novemba 21, 2016.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Maliasili na Utalii,
Profesa Jumanne Maghembe (kulia) na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,
Mhandisi Ramo Makani (katikati) baada ya kuongoza kikao kati yake na
Watendaji Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya
Hifadhi za Misitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments