MAREHEMU SAMWELI SITTA APUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE,WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA WAOMBOLEZAJI
November 12 2016 yamefanyika mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel John Sitta aliyefariki dunia
November 7 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich
nchini Ujerumani.
Mazishi hayo yamefanyika Urambo Tabora kwenye eneo la makaburi ya
ukoo wa Sitta ambayo yapo takribani km 2 kutoka nyumbani kwake.
Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa na Mkewe Mary wakweka shada la maua kwenye kaburi
la Spika Mstaafu Samuel Sitta yaliyofanyika Urambo Novemba 12, 2016.
No comments