BALOZI WA CANADA AMTEMBELEA WAZIRI UMMY MWALIMU
Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu leo
amekutana na ugeni kutoka Ubalozi wa Canada hapa nchini, Balozi wa
Canada nchini Tanzania Mh. Ian Myles na kufanya mazungumzo mbalimbali
katika ushirikiano wa kisera na mipango katika sekta ya Afya na
Maendeleo ya Jamii nchini.
Tukio hilo limefanyika ofisini kwa Waziri Ummy Mwalimu katika Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam.
Waziri Ummy Mwalimu akiongea na Balozi Ian Myles (kushoto),kulia mwa Balozi ni ofisa wa Ubalozi wa Canada Susan Steffen
No comments