PICHA 6: Rais Magufuli alivyomtembelea mkewe mama Janeth Hospitalini Muhimbili
Leo
November 10 2016 Rais Magufuli amewatembelea na kuwajulia hali wagonjwa
waliolazwa katika wodi ya Sewahaji iliyopo katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili Jijini Dar es Salaam wakiwemo Waziri na Balozi Mstaafu wa
Tanzania Omar Ramadhan Mapuri na Mkewe Mama Janeth Magufuli.
Rais Magufuli na Waziri na Balozi Mstaafu wa Tanzania Omar Ramadhan Mapuri
Rais Magufuli na Mkewe mama Janeth Magufuli
No comments