Snura afungiwa kujihusisha na sanaa, TCRAwaagizwa kuifuta video ya Chura mtandaoni
Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo leo imetangaza kumfungia
Snura kujihusisha na masuala ya sanaa.
Pia imeufungia wimbo wake Chura pamoja na video yake kutochezwa kwenye
redio na TV nchini. Taarifa hiyo imetolewa na wizara hiyo kwenye mkutano na
waandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi wake wa mikutano wizarani
hapo jijini Dar.
redio na TV nchini. Taarifa hiyo imetolewa na wizara hiyo kwenye mkutano na
waandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi wake wa mikutano wizarani
hapo jijini Dar.
Uamuzi wa kumfungia umekuja kutokana msanii huyo kutojisajili kwenye Baraza
la Sanaa la Taifa, BASATA
la Sanaa la Taifa, BASATA
Akiongea na waandishi wa habari, Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa wizara
hiyo, Zawadi Msalla, amewaonya watu kutousambaza wimbo huo kwenye
mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp.
hiyo, Zawadi Msalla, amewaonya watu kutousambaza wimbo huo kwenye
mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp.
Amedai kuwa wale watakaokiuka agizo hilo watashtakiwa kwa kutumia sheria
ya makosa ya mtandao.
ya makosa ya mtandao.
Msanii Snura Mushi (Pichani).
No comments