Waendesha Bodaboda Manispaa ya Moshi Mjini waandamana
Waendesha bodaboda Manispaa Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wameandamana kwa kuzunguka mji mzima wa Moshi kwa kile wanachodai kunyanyaswa na kukamatwa mara kwa mara na askari wa usalama barabarani.
Wakiongea huku wakikaataa kutaja majina yao madeva hao wamesema wamechoshwa na unyanyasaji huo wa askari wa usalama barabarani,
Juhudi za kumtafuta msemaji wao ili azungumzie kuhusu madai.hayo zinaendelea.
No comments