Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 586 wa JWTZ mkoani Arusha.

Rais John Magufuli ametunuku kamisheni kwa maafisa wapya mia tano na themanini na sita wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa tanzania kwa cheo cha Luteni uso katika chuo cha mafunzo ya kijeshi Monduli huku sita kati yao wakiwa ni wanawake.
Tukio hilo limefanyika katika chuo cha mafunzo ya kijeshi Monduli na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.

Kiongozi wa maafisa wapya wa jeshi waliyo  tunukiwa kamisheni Kahema Mfinanga amesema mafunzo yalikuwa mazuri na yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa na wamejipanga katika kulitumikia jeshi la wananchi wa Tanzania.

No comments