CRDB YAADHIMISHA MIAKA 20,
WAZIRI WA FEDHA DKT.PHILIPO MPANGO.
NA VERO IGNATUS ARUSHA
SERIKALI IMEAHIDI KUWEKA SERA NZURI NA BORA KATIKA SEKTA YA FEDHA ILI KUWEZESHA TAASISI ZA FEDHA KUONDOKANA NA VIKWAZO NA ZISAIDIE KUINUA UCHUMI NA KIPATO CHA WATANZANIA WANAOKABILIWA NA MATATIZO MBALIMBALI KATIKA SEKTA YA ELIMU MIUNDOMBINU NA NYINGINE
WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DK PHILIPO MPANGO AMETOA KAULI HIYO KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA ISHIRINI YA BENKI YA CRDB YANAYO ENDELEA JIJIJI ARUSHA NA KUHUDHURIWA NA WANAHISA WA BENKI HIYO KUTOKA MIKOA MBALIMBALI .
MWENYEKITI WA BODI YA CRDB MARTINI MMARI AMESEMA BENKI YA CRDB NI BENKI INAYO MILIKIWA NA WAZALENDO KWA ASILIMIA SITINI NA TATU HIVYO KUNA KILA SABABU YA SERIKALI KUIUNGA MKONI.
MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI HIYO DK CHARLES KIMEI AMESEMA KWA KIPINDI CHA MIAKA ISHIRINI BENKI HIYO IMEONGEZA AMANA YAKE KWA ASILIMIA MIA MOJA KITENDO KINACHO WAPA FARAJA WANAHISA WA BENKI HIYO KWA KUWA IMELIPA KODI KUBWA KWA SERIKALI.
No comments