Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam , Willson Kabwe Afariki Dunia
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe ambaye April 19
mwaka huu alisimamishwa kazi na Rais Magufuli amefariki dunia usiku wa
kuamkia leo.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya
Mwita
Kabwe amefikwa na mauti akiwa nchini India kwa matibabu. Mungu ailaze
mahala pema peponi roho ya marehemu. Amina
No comments