:VIONGOZI WA CHADEMA WASHIKILIWA NA POLISI JIJINI MWANZA


Mkiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti
wa Vijana Taifa Patrobas Katambi, Katibu Mkuu
wa Vijana Taifa Julius Mwita, Mbunge wa
Tunduma Frank Mwakajoka, viongozi wengine
wa chama na wanachama wengine,
wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kituo cha Polisi
Nyakato, jijini Mwanza.

Hadi sasa hakuna maelezo ya sababu ya
kushikiliwa kwao. Tangu asubuhi Mkiti wa
Chama Taifa Mbowe na alikuwa akizunguka
katika maeneo kadhaa ya jijini Mwanza
kuwasalimia wananchi katika 'vijiwe'
mbalimbali jijini humo.

No comments