WAZIRI WA ARDHI MH. WILLIAM LUKUVI AZINDUA RASMI KAMISHENI YA TUME YA TAIFA YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI LEO JIJINI DAR
![]() | ||
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi
|
![]() | |

Mwenyekiti
mpya wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi Bw. Fidelis
Mutakyamilwa akitoa neno la Shukurani kwa Mh. William Lukuvi (MB) ,
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi baada ya uzinduzi rasmi
wa tume na kuleleza kuwa wanaanza kuyafanyia kutekeleza mara moja maelekezo waliyopewa na Mh. Lukuvi

Makamishna wateule, Pamoja na Menijimenti ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi wakiwa katika uzinduzi huo.
Mh. William Lukuvi (MB) , Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi(aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wateule Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi Bora ya Ardhi,Mwenyekiti,Katibu pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume hiyo
Makamishna wateule Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi Bora ya Ardhi(aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi.





No comments