Basi la hood laacha njia na kuparamia bar ngarenaro jijini Arusha


Displaying 425705995_184268.jpg
Basi la hood lenye namba T 484 AXV likiwa limevamiwa bar ya Ngarenaro top Inn,maeneo ya Kona Nairobi,basi hilo linasemekana lilikuwa kwenye matengenezo hivyo lilikuwa likivutwa.Halikuwa na abiria bali inasemekana aliyejeruhiwa ni dereva wa basi hilo kulingana na chanzo cha habari

No comments