HABARI PICHA –MKUU WA WILAYA YA ARUSHA GABRIEL DAQARRO AKITOA TUZO KWA WALIMU BORA
| Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akikabidhi Tuzo ya Mwalimu Bora kwa Mwalimu Regina Lekule wa shule ya Msingi Msitu wa Mbogo, katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la The Foundation For Tomorrow Melissa Queyquep. Tuzo za Walimu Bora ziliandaliwa na shirika lisilokua la kiserikali la The Foundation For Tomorrow jana jijini Arusha na kufanyika katika shule ya msingi Arusha school. |
No comments