Rais wa Uganda arudi shambani
Rais wa Uganda
Yoweri Museveni amerudi shambani kwake ambapo atakuwa kwa kipindi cha
juma moja akikuza kilimo mbali na kusimamia miradi ya serikali katika
wilaya ya Lowero.
chanzo Bbc
Ladha ya Mafanikio ni Changamoto
Vukatz Initiatives (c) 2016 -2024 Vukatz All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel
No comments