HUDDAH SIO MTU WA MCHEZO MCHEZO AMNYEMELEA RAYVANNY, AMWANDIKIA UJUMBE HUU

Kufuatia kuwepo kwa tetesi kuwa ameshawahi kutoka kimapenzi na Hit maker wa Single ya "Aiyola" Harmonize (japo wenyewe walikanusha) kutoka katika label ya WCB, Sasa 

Mlimbwende kutoka Kenya Huddah amnyatia Rayvannyhit maker wa Single ya "Kwetu" na "Natafuta Kiki" pia Kutoka Label ya WCB.Ubuyu huo umekuja baada ya Rayvanny kupost Picha katika Mtandao
 
waInstagram na Kuandika ujumbe uliosomeka "Unahisi nini kimenifanya nizubae".Katika hali isiyotarajiwa akatokea mlimbwendehuyo na kujibu Swali hilo kwa kuandika "Ukipata hela nyingi utakuwa mzuri sana..... I'll be waiting".

 Kufuatia ujumbe huo uliowatoa watu povu kupitia post hiyo kwa kusema mlimbwende huyo anamtaka kimapenzi msanii huyo.

No comments