Ethiopia yazilaumu Misri na Eritrea kwa kuchangia ghasia nchini mwake
Hii inafuatia miezi kadha ya maandamano ya kuipinga serikali yanayofanywa na makabil mawili makubwa zaidi nchini humo
Ghasia zimeongezeka tangua mwanzo wa mwezi huu wakati takriban watu 55 waliuawa wakati wa maandamano kwenye warsha moja ya dini ya kabila la Oromo.
Waziri huyo pia aliilaumu Eritrea ambayo Ethiopia imekuwa na mzozo wa mpaka nayo kwa muda mrefu.
Ethiopia pia imekuwa na tofauti na Misri baada ya uamuzi wa Ethiopia wa kujenga bwawa kwenye mto Nile.
Bbc
No comments