RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MAELFU KUAGA MWILI WA MEYA WA ZAMANI WA DAR ES SALAAM DKT. DIDAS MASABURI
![]() |
Baadhi
ya Viongozi mbalimbali wa Kiserikali na Kichama wakiongozwa na Rais Dkt
John Pombe Magufuli (wa tano kulia) wakiwa katika viwanja vya Karimjee
mapema leo asubuhi kutoa heshima ya mwisho na kuaga mwili wa Marehemu
Dkt Didas Masaburi,aliyefariki wiki iliopita katika hospitali ya Taifa
ya Muhimbili,wakishiriki
|
![]() |
| Sanduku lililobea mwili wa Marehemu Dkt Masaburi likiwasili katika viwanja vya Karimjee,jijini Dar kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho |
![]() | ||||
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea machache kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016 |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na
mkewe wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam
wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam leo Oktoba 17, 2016![]() |
| Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016. |
![]() |
| Add caption Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma
Kikwete wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es
salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini
Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016 |
![]() |
| Add caption |
![]() | |
Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wafiwa baada ya kuaga mwili wa
Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016![]() |
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa chama na serikali pamoja na wananchi mbalimbali waliojitokeza kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt Masaburi,mapema leo viwanja vya Karimjee,jijini Dar Es Salaam










No comments