Wednesday, April 27, 2016 Picha za jinsi katibu mpya wa EAC alivyokaribishwa
ARUSHA
Jumuiya ya Afrika Mashariki imeendelea na hatua yakubadilishana uongozi ambapo sasa hivi Katibu Mkuu Dr Richard Sezibera kutoka Rwanda amemaliza muda wake nakumkaribisha Katibu mpya kutoka Burundi Liberat Mfumukeko kuendelea na nafasi hiyo nimezinasa picha za kwanza wakati wa makabidhiano
Dr.Richard Sezibera amabaye amemalizamuda wake akimkaribisha Katibu mpya wa EAC kutoka nchini Burundi Liberat Mfumukeko.
Dr.Richard Sezibera akisalimiana na Katibu mpya wa EAC Liberat Mfukeko kutoka nchini Uganda
Picha ya pamoja

No comments