blogger-disqus-facebook
  • Home
  • About
  • Contact Us

Vukatz

Ladha ya Mafanikio ni Changamoto


    • News
    • Health Care
    • Initiatives
    • Contact us
    Saturday April 30,2016.KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI CHAFUNGUA MAFUNZO YA AJALI,VIFO NA MAJERUHI BARABARANI

    Saturday April 30,2016.KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI CHAFUNGUA MAFUNZO YA AJALI,VIFO NA MAJERUHI BARABARANI

    Vero Ignatus 4/30/2016 08:35:00 am 0

    Saturday, 30 April 2016 Kaimu kamanda kikosi cha usalama barabarani Tanzania,Kamishna Msaidizi wa Polisi Fortunatus Musilimu akifungua ma...

    BASATA KUADHIMISHA SIKU YA MUZIKI WA JAZZ

    BASATA KUADHIMISHA SIKU YA MUZIKI WA JAZZ

    Vero Ignatus 4/30/2016 08:20:00 am 0

    Saturday, 30 April 2016 National Arts Council BASATA Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa li...

    Friday, April 29,2016 Spika Apangua tena Kamati za Bunge, Wabunge
Wapinga

    Friday, April 29,2016 Spika Apangua tena Kamati za Bunge, Wabunge Wapinga

    Vero Ignatus 4/29/2016 11:57:00 pm 0

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amefanya mabadiliko mengine ya kamati za Bunge kwa kuwaongeza wabunge wapya na kuwahamisha wengine kwenda kwenye...

    Friday, April 29, 2016
UVCCM Wamtaka Fredrick Sumaye Amwache
Rais Magufuli Afanye Kazi Yake

    Friday, April 29, 2016 UVCCM Wamtaka Fredrick Sumaye Amwache Rais Magufuli Afanye Kazi Yake

    Vero Ignatus 4/29/2016 09:34:00 pm 0

    Umoja wa vijana wa Chama cha mapinduzi umesema Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye hana vigezo wala sifa zozote zinazoweza kumfanya awe n...

    Friday, April 29, 2016
Bosi wa Zamani wa TRA na Wenzake Wawili
Warudishwa Tena Rumande Hadi Tarehe 3 Mwezi
Ujao

    Friday, April 29, 2016 Bosi wa Zamani wa TRA na Wenzake Wawili Warudishwa Tena Rumande Hadi Tarehe 3 Mwezi Ujao

    Vero Ignatus 4/29/2016 09:28:00 pm 0

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imesita kutoa uamuzi wa kesi inayowakabili Harry Kitillya, Shose Sinare na Sioi S...

    Friday, April 29, 2016.
Serikali Yashauriwa Kuwa na Hisa Kwenye
Kampuni za Madini ili Kujua Mapato halide
Yanayoingizwa na Wawekezaji wa Kigeni

    Friday, April 29, 2016. Serikali Yashauriwa Kuwa na Hisa Kwenye Kampuni za Madini ili Kujua Mapato halide Yanayoingizwa na Wawekezaji wa Kigeni

    Vero Ignatus 4/29/2016 11:59:00 am 0

    Serikali imeshauriwa kuwa na sehemu ya umiliki katika kampuni zinazochimba madini na gesi ili kujua mapato halisi yanayoingizwa na wawekez...

    Friday, April 29, 2016 .Kuachiwa Huru Abdallah Zombe
na Wenzake kusikilizwa Leo

    Friday, April 29, 2016 .Kuachiwa Huru Abdallah Zombe na Wenzake kusikilizwa Leo

    Vero Ignatus 4/29/2016 11:53:00 am 0

    Friday, April 29, 2016 Mahakama ya Rufaa leo inatarajiwa kusikiliza rufaa ya kupinga kuachiwa huru kwa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa...

    Friday, April 29, 2016
Naibu Spika Achafua Hali ya Hewa Bungeni Baada
ya Kumwita Mbunge BWEGE

    Friday, April 29, 2016 Naibu Spika Achafua Hali ya Hewa Bungeni Baada ya Kumwita Mbunge BWEGE

    Vero Ignatus 4/29/2016 11:45:00 am 0

    Naibu Spika Tulia Ackson, ambaye katika vikao vya Bunge anatakiwa kusimamia mijadala kwenye chombo hicho cha kutunga sheria, jana alizua ...

    Friday, April 29, 2016 Mfanyabiashara Auawa gesti Kwa Kuchomwa
Kisu

    Friday, April 29, 2016 Mfanyabiashara Auawa gesti Kwa Kuchomwa Kisu

    Vero Ignatus 4/29/2016 11:39:00 am 0

    Mfanyabiashara wa mazao, Eliusta Peter(40), amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali shingoni akiwa katika nyumba ya kula...

    Watu Watatu Wanaosadikiwa Kuwa Majambazi Wauawa
Katika Jaribio La Uhalifu Wilayani Chunya Mkoani Mbeya

    Watu Watatu Wanaosadikiwa Kuwa Majambazi Wauawa Katika Jaribio La Uhalifu Wilayani Chunya Mkoani Mbeya

    Vero Ignatus 4/28/2016 10:25:00 pm 0

    JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA. Mnamo tarehe 27.04.2016 majira ya saa 20:00 usiku huko katika Kijiji na Kata ya Matundasi, Tarafa ya Kiwan...

    Thursday, April 28, 2016
Vipaza Sauti Vya Bunge Vyaharibika, Bunge Lasimama kwa Dakika 30

    Thursday, April 28, 2016 Vipaza Sauti Vya Bunge Vyaharibika, Bunge Lasimama kwa Dakika 30

    Vero Ignatus 4/28/2016 04:31:00 pm 0

    Shughuli za Bunge la Muungano leo zilisimama kwa dakika 3 0 kabla ya kuendelea tena, baada ya vipasa sauti vya ukumbini kushindwa kufanya ...

    Thursday, 28 April 2016
Mwili wa Papa Wemba wawasili DRC

    Thursday, 28 April 2016 Mwili wa Papa Wemba wawasili DRC

    Vero Ignatus 4/28/2016 03:06:00 pm 0

    Mamia ya watu wamekongamana nje ya uwanja wa ndege wa Kinshasa kuupokea mwili wa mwanamuziki Papa Wemba uliowasili nchini humo kutoka Abid...

    Thursday, April 28, 2016

Madiwani wa Chadema Wilayani Hai Wasusa
Kuhudhuria Kikao cha Mkuu wa Mkoa Said Meck
Sadiki

    Thursday, April 28, 2016 Madiwani wa Chadema Wilayani Hai Wasusa Kuhudhuria Kikao cha Mkuu wa Mkoa Said Meck Sadiki

    Vero Ignatus 4/28/2016 03:00:00 pm 0

    Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Helga Mchomvu, wamesusa kuhudhuria kikao cha Mkuu ...

    Thursday, April 28, 2016
 Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi
Mtendaji wa TIC

    Thursday, April 28, 2016 Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TIC

    Vero Ignatus 4/28/2016 02:17:00 pm 0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TI...

    Thursday, April 28, 2016
Wabunge Mabubu kubanwa Bungeni ,Ni wale wanaoshiriki Vikao vya Bunge Lakini
Hawachangii Chochote

    Thursday, April 28, 2016 Wabunge Mabubu kubanwa Bungeni ,Ni wale wanaoshiriki Vikao vya Bunge Lakini Hawachangii Chochote

    Vero Ignatus 4/28/2016 10:37:00 am 0

    Kiti cha Spika wa Bunge kimesema ipo haja ya kufanya marekebisho ya Sheria pamoja na Kanuni ili kila mbunge apate posho kulingana na kazi ...

    Thursday, April 28, 2016
Serikali Kuwasilisha Mswada wa wa sheria wa Ndoa.

    Thursday, April 28, 2016 Serikali Kuwasilisha Mswada wa wa sheria wa Ndoa.

    Vero Ignatus 4/28/2016 10:06:00 am 0

    Serikali imejiandaa kuleta Muswada wa Sheria bungeni kutoa haki ya kusoma kwa watoto wote wa kike na kiume wa shule za msingi, sekondari na...

    Wednesday, April 27, 2016
 Rais Magufuli Awaapisha Makatibu Tawala
Wapya Wa Mikoa

    Wednesday, April 27, 2016 Rais Magufuli Awaapisha Makatibu Tawala Wapya Wa Mikoa

    Vero Ignatus 4/27/2016 10:50:00 pm 0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu Tawala wapya kumi aliowateua tarehe 25 Aprili, 2016 ...

    Wednesday, April 27, 2016
Picha za jinsi katibu mpya wa EAC alivyokaribishwa

    Wednesday, April 27, 2016 Picha za jinsi katibu mpya wa EAC alivyokaribishwa

    Vero Ignatus 4/27/2016 09:41:00 pm 0

    ARUSHA Jumuiya ya Afrika Mashariki  imeendelea na hatua yakubadilishana uongozi ambapo sasa hivi Katibu Mkuu Dr Richard Sezibera  kutoka Rw...

    Wednesday, April 27, 2016

Polisi Temeke Wakamata 'Panya Road 18

    Wednesday, April 27, 2016 Polisi Temeke Wakamata 'Panya Road 18

    Vero Ignatus 4/27/2016 09:34:00 pm 0

    Jeshi la Polisi linawashikilia vijana zaidi ya 18 wenye umri kati ya miaka 14 na 20 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya uhalifu katik...

    Wednesday 27April,2016.
Ripoti ya CAG Yawaweka Kikaangoni Vigogo wa
Bohari Kuu ya Dawa (MSD)

    Wednesday 27April,2016. Ripoti ya CAG Yawaweka Kikaangoni Vigogo wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD)

    Vero Ignatus 4/27/2016 12:15:00 pm 0

    Ripoti iliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad imezichanganya Hospitali ya Taifa Muhimb...

    Rais John Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 3,551, ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya Muungano wa Tanzania

    Rais John Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 3,551, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya Muungano wa Tanzania

    Vero Ignatus 4/27/2016 08:58:00 am 0

    Taarifa iliyotolewa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Meja Jenerali Projest Rwegasira ilisema wafungwa 580 wataachiwa huru,...

    Wednesday, April 27, 2016

Mwenyekiti Aweka Majina HEWA Mradi wa
Kuokoa kaya Masikini (TASAF

    Wednesday, April 27, 2016 Mwenyekiti Aweka Majina HEWA Mradi wa Kuokoa kaya Masikini (TASAF

    Vero Ignatus 4/27/2016 07:05:00 am 0

    Wananchi wamemkataa mwenyekiti wa kitongoji cha Mwanogi kijiji cha Bulima, Kata ya Nyashimo wilayani Busega katika Mkoa wa Simiyu, wakimtu...

    Wednesday, April 27, 2016
Mwanafunzi Amkaanga kortini polisi anayedaiwa kumbaka katika kibanda cha ulinzi cha benki.

    Wednesday, April 27, 2016 Mwanafunzi Amkaanga kortini polisi anayedaiwa kumbaka katika kibanda cha ulinzi cha benki.

    Vero Ignatus 4/27/2016 07:00:00 am 0

    Mwanafunzi wa kidato cha tatu, juzi alimkaanga askari polisi anayedaiwa kumbaka kwa kuieleza Mahakama jinsi alivyotendewa kitendo hicho kat...

    Aliyevumbua “Please Call Me” ashinda kesi
26 Aprili 2016

    Aliyevumbua “Please Call Me” ashinda kesi 26 Aprili 2016

    Vero Ignatus 4/26/2016 02:46:00 pm 0

    Mahakama ya Kikatiba nchini Afrika Kusini imeiamuru kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kumlipa mwanamume aliyebuni wazo la kutuma ujumbe w...

    Tuesday, April 26, 2016

Breaking Newa: Rais Magufuli Aivunja Bodi ya
TCRA na Kumsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu
wa Mamlaka Hiyo Dr Ally Yahaya Simba

    Tuesday, April 26, 2016 Breaking Newa: Rais Magufuli Aivunja Bodi ya TCRA na Kumsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hiyo Dr Ally Yahaya Simba

    Vero Ignatus 4/26/2016 02:27:00 pm 0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kumsimamisha...

    Tuesday
26 Aprili 2016 Aliyekuwa mke wa Rais wa zamani Nchini Kenya Lucy Kibaki amefariki.

    Tuesday 26 Aprili 2016 Aliyekuwa mke wa Rais wa zamani Nchini Kenya Lucy Kibaki amefariki.

    Vero Ignatus 4/26/2016 01:48:00 pm 0

    Lucy alifariki katika hospitali ya Bupa Cromwell mjini London. Alisafrishwa hadi mjini Landon wiki moja iliopita kwa matibabu. Akithibitis...

    Tuesday, April 26,2016 .Ripoti ya CAG Yaanika 'Madudu' Kibao Serikalin

    Tuesday, April 26,2016 .Ripoti ya CAG Yaanika 'Madudu' Kibao Serikalin

    Vero Ignatus 4/26/2016 10:58:00 am 0

    iliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inaonyesha ana kazi kubwa zaidi kupata ushindi kwenye vita hiyo. Ripoti hiyo...

    Jumatatu, 25 Aprili 2016 17:53
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu
wa Mapinduzi ya Kiislamu katika
mkutano na Rais wa Afrika Kusini

    Jumatatu, 25 Aprili 2016 17:53 Matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na Rais wa Afrika Kusini

    Vero Ignatus 4/25/2016 11:53:00 pm 0

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ambaye Jumapili aliwasili Tehran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu alikutana na kufanya mazungumzo na Kion...

    Monday 25 April 2016 Matukio Ya Ubakaji Yaongezeka Nchini Na
Kufikia 1765.

    Monday 25 April 2016 Matukio Ya Ubakaji Yaongezeka Nchini Na Kufikia 1765.

    Vero Ignatus 4/25/2016 11:39:00 pm 0

    Matukio ya ubakaji hasa kwa watoto wadogo yamekuwa yakiongezeka kwa kiwango kikubwa, ongezeko hili limebainika kutokana na ufuatiliaji tul...

    Monday 25 April 2016 Rais Magufuli Ateua Makatibu
Tawala wa Mikoa 26

    Monday 25 April 2016 Rais Magufuli Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa 26

    Vero Ignatus 4/25/2016 11:24:00 pm 0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ...

    Monday,April 25 , 2016 Serikali.imeunda Kamati ya Kuanzisha Tume ya Tehama.

    Monday,April 25 , 2016 Serikali.imeunda Kamati ya Kuanzisha Tume ya Tehama.

    Vero Ignatus 4/25/2016 12:08:00 pm 0

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, ameunda Kamati ya mpito ya kusimamia uanzishwaji wa Tume ya Teknolojia ya H...

    Newer Posts Older Posts Home
    Subscribe to: Comments ( Atom )

    WATAZAMAJI

    Vero Ignatus

    Vero Ignatus
    Founder , Vuka Initiatives

    BLOGU MARAFIKI

    • MICHUZI BLOG
      DC MSANDO AAGIZA KUFUFULIWA VISIMA VINNE MBURAHATI, HUDUMA YA MAJI KUREJEA - Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Mheshimiwa Abert Msando ametembelea na kukagua hali ya huduma ya upatikanaji maji kata ya Mburahati wilayani humo huku akito...
      6 hours ago
    • MTAA KWA MTAA BLOG
      DC MSANDO MGUU KWA MGUU MBURAHATI UFUFUAJI VISIMA - Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Mheshimiwa Abert Msando ametembelea na kukagua hali ya huduma ya upatikanaji maji kata ya Mburahati wilayani humo huku akito...
      6 hours ago
    • Father Kidevu
      WAZIRI MKUU: WATANZANIA TUNZENI AKIBA YA CHAKULA - *WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa...
      7 hours ago
    • Wazalendo 25 Blog
      Msibani : Marehemu Jenista Mhagama Alikuwa Kiongozi Jasiri, Mwaminifu na Mlezi wa Viongozi Wengi - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza familia, viongozi, wabunge na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwi...
      1 day ago
    • LIBENEKE LA KASKAZINI
      Miaka 64 ya Uhuru: TBN Yasema “Amani Kwanza, Ujenzi wa Taifa Daima - Leo Desemba 9, tunapoadhimisha miaka 64 tangu Taifa letu lipate Uhuru, Tanzania Bloggers Network (TBN) inawapongeza Watanzania wote kwa kufikia hatua hi...
      5 days ago

    MATUKIO MUHIMU

    TANZIA: JENISTA JOAKIM MHAGAMA AFARIKI DUNIA

    Image

    Thursday, April 28, 2016 Vipaza Sauti Vya Bunge Vyaharibika, Bunge Lasimama kwa Dakika 30

    Image

    Watu Watatu Wanaosadikiwa Kuwa Majambazi Wauawa Katika Jaribio La Uhalifu Wilayani Chunya Mkoani Mbeya

    Image

    Thursday, 28 April 2016 Mwili wa Papa Wemba wawasili DRC

    Image

    Godliver Gordian Avunja Ukimya: “Ni Kweli Ndoa imenishinda, nikaamua Kujiondoa”.

    Image
  • Recent

    3/recent-posts

    Comments

    3/recent-comments

    MAKTABA

    HABARI MATUKIO Afya AFYA / JAMII SIASA MAISHA Habari/Michezo Kimataifa MAGAZETI MICHEZO ARUSHA JAMII KITAIFA Mazingira ELIMU MAHAKAMANI MIUNDOMBINU Biashara Burudani JAMII/SANAA JESHI Jamii/Ukatili MUZIKI Magazeti ya leo Makala Sheria

    KUMBUKUMBU

    • ▼  2016 (648)
      • ►  March (2)
      • ▼  April (42)
        • Saturday, April 23, 2016 Mkurugenzi Mkuu wa Zamani...
        • Saturday, April 23, 2016 UVCCM Yataka Majipu Ndani...
        • Sunday, April 24, 2016 Maalim Seif Aendelea Kummwa...
        • Sunday, April 24, 2016 Sad News: Mwanamuziki Ngul...
        • Sunday 24 April 2016 .Kilimanjaro: Watumishi HEWA ...
        • Sunday, April 24, 2016 NAPE AHIDI KUYATUMBUA MAJI...
        • Monday, 25 April 2016 Tanzania inatarajiwa kuwa mw...
        • Monday 25 April 2016 HISTORIA YA PAPA WEMBA
        • Monday 25 April 2016 UDUMAVU KWA WATOTO HALMASHAUR...
        • THURSDAY 30 MARCH 2016MWANAMKE MTANZANIA ANG'ARA K...
        • Sijawahi kuwa na mahusiano na msanii Lady JayDee
        • Monday,April 25 , 2016 Serikali.imeunda Kamati ya ...
        • Monday 25 April 2016 Rais Magufuli Ateua Makatibu ...
        • Monday 25 April 2016 Matukio Ya Ubakaji Yaongezeka...
        • Jumatatu, 25 Aprili 2016 17:53 Matamshi ya Kiongoz...
        • Tuesday, April 26,2016 .Ripoti ya CAG Yaanika 'Mad...
        • Tuesday 26 Aprili 2016 Aliyekuwa mke wa Rais wa za...
        • Tuesday, April 26, 2016 Breaking Newa: Rais Maguf...
        • Aliyevumbua “Please Call Me” ashinda kesi 26 April...
        • Wednesday, April 27, 2016 Mwanafunzi Amkaanga kort...
        • Wednesday, April 27, 2016 Mwenyekiti Aweka Majina...
        • Rais John Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 3,5...
        • Wednesday 27April,2016. Ripoti ya CAG Yawaweka Kik...
        • Wednesday, April 27, 2016 Polisi Temeke Wakamata ...
        • Wednesday, April 27, 2016 Picha za jinsi katibu mp...
        • Wednesday, April 27, 2016 Rais Magufuli Awaapisha...
        • Thursday, April 28, 2016 Serikali Kuwasilisha Mswa...
        • Thursday, April 28, 2016 Wabunge Mabubu kubanwa Bu...
        • Thursday, April 28, 2016 Rais Magufuli Atengua Ut...
        • Thursday, April 28, 2016 Madiwani wa Chadema Wila...
        • Thursday, 28 April 2016 Mwili wa Papa Wemba wawasi...
        • Thursday, April 28, 2016 Vipaza Sauti Vya Bunge Vy...
        • Watu Watatu Wanaosadikiwa Kuwa Majambazi Wauawa Ka...
        • Friday, April 29, 2016 Mfanyabiashara Auawa gesti ...
        • Friday, April 29, 2016 Naibu Spika Achafua Hali ya...
        • Friday, April 29, 2016 .Kuachiwa Huru Abdallah Zom...
        • Friday, April 29, 2016. Serikali Yashauriwa Kuwa n...
        • Friday, April 29, 2016 Bosi wa Zamani wa TRA na We...
        • Friday, April 29, 2016 UVCCM Wamtaka Fredrick Suma...
        • Friday, April 29,2016 Spika Apangua tena Kamati za...
        • BASATA KUADHIMISHA SIKU YA MUZIKI WA JAZZ
        • Saturday April 30,2016.KIKOSI CHA USALAMA BARABARA...
      • ►  May (80)
      • ►  June (55)
      • ►  July (81)
      • ►  August (42)
      • ►  September (31)
      • ►  October (106)
      • ►  November (104)
      • ►  December (105)
    • ►  2017 (1641)
      • ►  January (157)
      • ►  February (158)
      • ►  March (150)
      • ►  April (123)
      • ►  May (183)
      • ►  June (168)
      • ►  July (160)
      • ►  August (147)
      • ►  September (167)
      • ►  October (106)
      • ►  November (71)
      • ►  December (51)
    • ►  2018 (451)
      • ►  January (90)
      • ►  February (67)
      • ►  March (78)
      • ►  April (80)
      • ►  May (54)
      • ►  June (33)
      • ►  July (9)
      • ►  August (15)
      • ►  September (9)
      • ►  October (7)
      • ►  November (8)
      • ►  December (1)
    • ►  2019 (1)
      • ►  April (1)
    • ►  2021 (23)
      • ►  August (1)
      • ►  September (3)
      • ►  October (9)
      • ►  November (5)
      • ►  December (5)
    • ►  2022 (48)
      • ►  January (3)
      • ►  February (8)
      • ►  March (8)
      • ►  April (1)
      • ►  May (4)
      • ►  June (5)
      • ►  July (1)
      • ►  August (6)
      • ►  September (4)
      • ►  October (1)
      • ►  November (2)
      • ►  December (5)
    • ►  2023 (29)
      • ►  February (4)
      • ►  March (1)
      • ►  April (1)
      • ►  May (3)
      • ►  July (8)
      • ►  August (4)
      • ►  November (3)
      • ►  December (5)
    • ►  2024 (146)
      • ►  January (2)
      • ►  February (2)
      • ►  March (4)
      • ►  April (1)
      • ►  May (22)
      • ►  June (6)
      • ►  July (18)
      • ►  August (13)
      • ►  September (20)
      • ►  October (22)
      • ►  November (35)
      • ►  December (1)
    • ►  2025 (185)
      • ►  January (19)
      • ►  February (15)
      • ►  March (3)
      • ►  April (19)
      • ►  May (33)
      • ►  June (17)
      • ►  July (14)
      • ►  August (20)
      • ►  September (17)
      • ►  October (13)
      • ►  November (2)
      • ►  December (13)

    MATUKIO YA JAMII

    Thursday, April 28, 2016 Vipaza Sauti Vya Bunge Vyaharibika, Bunge Lasimama kwa Dakika 30

    Image

    Watu Watatu Wanaosadikiwa Kuwa Majambazi Wauawa Katika Jaribio La Uhalifu Wilayani Chunya Mkoani Mbeya

    Image

    Thursday, 28 April 2016 Mwili wa Papa Wemba wawasili DRC

    Image

    MAISHA NA JAMII

    UJENZI WA JENGO LA KITUO CHA MAFUNZO YA KUONGEZA THAMANI MADINI YA VITO WAANZA JIJINI ARUSHA

    ■ Ni mkakati wa kuhakikisha madini vito yanaongezewa thamani nchini. ■Ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais.Dkt. Samia katika kuendeleza mnyororo wa madini thamani. ■Waziri Mavunde amtaka mkandarasi kuongeza nguvukazi kukamilisha mradi kwa wakati. ▪️Atoa siku 7 kwa Katibu Mkuu kukutana na wakandarasi,TGC na Taasisi za serikali kwa ajili ya upatikanaji vibali muhimu vya kuendeleza ujenzi. Na. Vero Ignatus,Arusha Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) kukamilisha ujenzi wa majengo ya kituo cha mafunzo ya  Uongezaji thamani madini ya vito kwa kuongeza nguvukazi na kufanya kazi kwa masaa 24 ili kukamilisha ujenzi wa jengo kwa muda mfupi. Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Desemba 12, 2025 mkoani Arusha  wakati wa ziara yake ya  kukagua mradi wa kituo hicho  ulioanza ujenzi rasmi ambapo katika maelekezo yake amemtaka mkandarasi kuzingatia ujenzi bora...
    Image

    Pages

    • Home
    • About Us

    HABARI MATUKIO

    3/HABARI MATUKIO/post-per-tag

    Vukatz Initiatives (c) 2016 -2024 Vukatz All Right Reserved

    Developed by Gadiola Emanuel
    Template By Arusha Publicity | Developed By Gadiola Emanuel
    Powered by Blogger.