Uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (
wa pili kulia) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe, Balozi Seif
Ali Iddi wakati alipowasili Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi kuweka jiwe
la msingi ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar
leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Fedha na Mipamgo Zanzibar
Dkt.Khalid Salum Mohamed,[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Bara
Dkt.Ashatu Kijaji,mara alipowasili Mazizini
Mkoa wa Mjini Magharibi kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la
Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar leo, ikiwa ni shamra shamra za
maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati)
Waziri wa Fedha na Mipamgo Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed,[Picha na
Ikulu.] 06/01/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (
katikati) na Mwakilishi wa Benki ya Dunia Bibi.Elizabe Ann Talbert
(kulia) wakifungua pazia kuashiria Uwekaji wa jiwe la Msingi jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar huko
Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi leo ikiwa ni shamra shamra za
maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na
Ikulu.] 06/01/2017.
Baadhi
ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi
Ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar,uliowekwa
leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein huko Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
Mkandarasi wa Ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar Nd,Edwin Shitindi kutoka alipokuwa akitoa maelezo ya Kitaalam kwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupi pichani) baada ya kuliweka jiwe la msingi jengo hilo leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake baada ya kuliweka jiwe la
msingi jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Fedha na Mipamgo Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed,[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.






No comments