WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA KUZALISHA UMEME MTERA
Gari
lililombeba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa likipita kwenye daraja la
bwawa la kuzalisha umeme Kituocha Kuzalisha Umeme cha Mtera kwenye
mpaka wa mkowa Dodoma na Iringa Januari 19, 2017. Mheshimiwa Majaliwa
alifanya ziara fupi ya kukagua kina cha maji kwenye bwawa hilo . (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Umeme
Nchini (TANESCO) katika bwawa la Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Mtera
lililoko kwenye mpaka wa mkoa wa Dodoma na Iringa wakati alipofanya
ziara fupi ya kukagua kina cha maji kwenye bwawa hilo Januari 19, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akipata maelezo kuhusu kina cha maji kwenye bwawa
la Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Mtera lililoko kwenye mpaka wa mkoa wa
Dodoma na Iringa wakati alipofanya ziara fupi ya kukagua kina cha maji
kwenye bwawa hilo Januari 19, 2017. Kushoto ni Waziri wa Ardhi,
Nyumba na maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kina cha maji kwenye bwawa la Kituo
cha kuzalisha Umeme cha Mtera lililoko kwenye mpaka wa mkoa wa Dodoma na
Iringa Januari 19, 2017. Kushoto ni Kaiu Meneja wa Kituo hicho,
Mhandisi Edmund Seif.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kina cha maji kwenye bwawa la Kituo cha
Kuzalisha Umeme cha Mtera lililoko kwenye mpaka wa mkoa wa Iringa na
Dodoma wakati alipokwenda kukagua kina cha maji kwenye bwawa hilo
Januari 19, 2017.
No comments