WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATEMBELEA DKT. BILAL NA DKT. SALMIN AMOUR NYUMBANI KWAO ZANZIBAR
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kulia) wakizungumza na watoto wa
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt Salmin Amour wakati walipoitembelea
familia ya Rais huyo eneo la Kilimani mjini Zanzibar, Januari 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt.
Salmin Amour wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani,
Zanzibar Januari 10, 2017.
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kulia) akizungumza na Mama Azza
Salmin, Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati yeye
na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa walipoitembelea familia hiyo eneo la
Kilimani Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt.
Salmin Amour wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani,
Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt.
Salmin Amour wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani,
Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na Rais Mstaafu wa
Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati walipomtembelea nyumbani kwake eneo
la Kilimani, Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la
Mbweni, Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakizungumza na Makamu wa Rais
Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilali wakati walipokwenda nyumbani kwake
eneo la Mbweni , Zanzibar januari 10, 2017.
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza na wake za Makamu wa
Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Zakia (kushoto na Asha
(katikati) wakati yeye na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa walipoitembelea
familia ya Dkt. Bilal , eneo la Mbweni Zanzibar, Januari 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (watatu kushoto) wakizungumza na
Makamu wa Rais Mstafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na wake zake, Mama
Zakia Biala (kushoto) na Mama Asha Bilal wakati walipowatembelea
nyumbani kwao eneo la Mbweni, Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakiagana na
Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na wake zake, Mama
Zakia Biala (wapili kushoto) na Asha Bilal (watatu kulia) wakati
walipowatembelea nyumbani kwao eneo la Mbweni, Zanzibar Januari 10,
2017.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments