Mchekeshaji Masele CHAPOMBE AFUNGA NDOA
Msanii wa vichekesho aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia Kundi la
Vituko Shoo, Chrispine Lyogello ‘Masele Chapombe’ weekend hii ameaga
ukapela baada ya kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Specioza
Malick iliyofungwa katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria
Consolata lililopo Mbezi Makabe jijini Dar es Salaam.

Desemba 23, 2016 Masele na Specioza walifanya send-off Moshi, Kilimanjaro, nyumbani kwa mwanamke huyo.
Muigizaji amekuwa msanii wa kwanza kufunga ndoa ndani ya mwaka 2017.
Desemba 23, 2016 Masele na Specioza walifanya send-off Moshi, Kilimanjaro, nyumbani kwa mwanamke huyo.
Muigizaji amekuwa msanii wa kwanza kufunga ndoa ndani ya mwaka 2017.
No comments