MAGUFULI:WATU WALIOBOMOA NYUMBA ZAO KUFUATIA TETEMEKO MKOANI KAGERA HAWATOLIPWA FIDIA.
Rais
Dokta Magufuli ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Misenyi
muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha afya
cha Kabyaile wilayani misenyi mkoani Kagera.

No comments