Vifaa
vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito
inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji
Mhe,Ali Abeid Amani Karume,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini
Unguja katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini
ikiwemo Makontena leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub
Mohamed Mahamoud,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari
Cpt.Abdalla Juma,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja
katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo
makontena ya mizigo mizito leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia
kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya
mizigo mizito wakiwepo na Viongozi mbali mbali, ikiwa ni shamra shamra
za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
04/01/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) akipata bmaelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma,kuhusu utendaji wa Vifaa vipya vya
kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya
Uzinduzi uliofanyika leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwasha Mashine ya Reach Stacker yenye uwezo wa kunyanyua
Tani 45 wakati alipokuwa akikagua Vifaa vipya vya kufanyia kazi
katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya Uzinduzi rasmi
alioufanyika leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.
WAZIRI WA ARDHI DKT AKWILAPO AKUTANA NA RC MTWARA
-
Na Munir Shemweta, WANMM MTWARA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo leo
tarehe 22 Desemba 2025 amekutana na kufanya m...
No comments