MBUNGE WA JIMBO LA TANGA AMKABIDHI MSAADA BAISKELI MKAZI WA TONGONI
Mbunge
wa Jimbo la Tanga(CUF)Mussa Mbaruku akimuelekeza namna ya kuitumia
Baiskeli ya kutembelea mkazi wa Mtaa wa Tongoni Jijini Tanga, Mwinchumu
Ally jana mara baada ya kumkabidhi ikiwa ni ahadi aliyemuahidi wakati wa
kampeni za uchaguzi mkuu mwaka juzi
Mbunge
wa Jimbo la Tanga(CUF) Mussa Mbaruku kulia akimkabidhi baikeli mkazi wa
Mtaa wa Tongoni Jijini Tanga,Mwinchumu Ally jana ambaye anamatatizo ya
ulemavu wa miguu kwa ajili ya kutembelea ikiwa ni kutimiza ahada
aliyomuahaidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka
juzi,
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
No comments