MDAU NELSON PALLANGYO NA BI. THERESIA BYAKWAGA WAFUNGA NDOA MJINI KARATU
Mchungaji
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini,
Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha ndoa Bw. Nelson
Charles Pallangyo na Bi. Theresia Justine Byakwaga iliyofanyika Agosti
5, 2017 na baadae sherehe ikafanyika ukumbi wa Samawe Complex. PICHA
ZOTE NA KAJUNASON/MMG - KARATU. 
Bwana
Harusi Nelson Charles Pallangyo akimvalisha pete mkewe Bi. Theresia
Justine Byakwaga wakati wakifunga ndoa katika Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa
Karatu Mjini akiwafungisha nd Agosti 5, 2017.
Bibi
Harusi Theresia Justine Byakwaga akimvalisha pete mumewe Nelson Charles
Pallangyo wakati wakifunga ndoa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu
Mjini akiwafungisha nd Agosti 5, 2017.
Bwana
Harusi Nelson Charles Pallangyo na mkewe Bi. Theresia Justine Byakwaga
wakila kiapo cha uaminifu wakati wakifunga ndoa yao takatifu. Pembeni ni
wasimamizi wao.
Waumini wakifuatilia ibada.
Mchungaji akiwagawia vyeti.
Maharusi wakionyesha vyeti vyao mara baada ya kufunga ndoa. Pembeni ni wasimamizi wao.
Maharusi wakitoka kanisani.
Wazazi
wa Bwana Harusi (kushoto), Charles Pallangyo na Bibi Harusi (kati
mwenye shati la blue) Justine Byakwaga wakizungumza machache na
mchungaji mara baada ya kufungisha ndoa ya watoto wao Nelson Charles
Pallangyo na Bi. Theresia Byakwaga.
Pongezi za ndugu, jamaa na marafiki mara baada ya kutoka kanisani.
Pongeni na shamra shamra zikiendelea.
Bwana
Harusi Nelson Charles Pallangyo na Bibi Harusi Theresia Justine
Byakwaga wakiwa katika picha ya pamoja na wazazi wa pande zote mbili.
Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi.
Maharusi wakikaribushwa nyumbani kwa shangwe na vigelegele..
No comments