MJENGONI CLASSIC BAND WANG'ARA KWENYE MASHINDANO YA NYAMA CHOMA FESTIVAL MERERANI

Mjengoni classic Band wakiwa wanawantumbuiza katika mashindano ya nyamachioma festival yaliyoandaliwa na Kampuni ya Geen Plan iliyopo mji mdogo wa Mererani ambapo mashindano hayo  yamefanyika katika hotel ya Mazubu Grand Hotel.Picha na Vero Ignatus Blog.



Ktibu tawala wa wilaya ya Simanjiro Zuena Omary akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa WA Wilaya hiyo Jenald Lama .wakati huo picha inayofiata anaonekana mkurugenzi wa Mazubu Grand Hotel akibadilishana mawazo na Katibu Tawala.
Muandaaji wa mashindano ya nyamachoma Festival bi.Grace Mmari akizungumza na wageni mbalimbali waliohudhuria pamoja na washiriki wa mashindano hating. picha na Vero Ignatus Blog.
Mkurugenzi waWilaya ya Simanjiro Yefred Myenzi akizungumza na Wageni waalikwa katika mashindano ya Nyamachoma Festival yaliyofanyika mji mdogo wa Mererani katika  mkiwanja cha Nasibu Grand Hotel. 

Katibu Tawala wa wilaya ya Simanjiro Zuena Omary ambae alimuwakilisha mkuu wa wilaya Hiyo akizungumza katika usiku wa mashindano y'a kumtafuta mchoma nyama Nora. picha name Vero Ignatus Blog. 
Mkurugenzi wa Mazubu Grand Hotel ndugu Elias Kipuni akiwa anafuatilia shughuli zinvyoondelea.Picha na  Vero Ignatus Blog. 
Mmiliki wa mjengoni club ambae  pia ni mkurugenzi wa Mjengoni Classic Band ndugu John Mdenye. Picha na Vero Ignatus Blog 
Wageni mbalimbali wakiwa katika shughuli hiyo ya mashindano ya Nyamachoma Festival iliyofanyoka katika Mazubu Grand Hotel. picha na Vero Ignatus Blog. 
 
Zoezi la ukaguzi wa jiko la uchomaji nyama Pamoja na uonjaji wa nyama likiendelea kwa kuongozwa na mgeni rasmi Zuena Omary pamoja na Mkurugenzi  Yefred Myenzi. Picha na Vero Ignatus Blog
 Mkurugenzi wa wilaya ya Simanjiro akizungumza kabla ya kutangazwa kwa washindi. picha na Vero Ignatus Blog.

Mshindi wa Kwanza katika shindano la Nyamachoma Festival pichani ni Meneja wa Mazubu Grand Hotel James Mongella akipokea Cheti kutoka kwa mgeni rasmi Zuena Omary. Picha na Vero Ignatus Blog.

Mshindi wa pili wa shindano la Nyamachoma Festival Given Mlay akipokea Cheti kutoka kwa mgeni rasmi Zuena Omary. picks na Vero Ignatus Blog. 
Mjengoni Classic Band wakiendelea kutoa burudani baada ya washidi kukabidhiwa zawadi zao. picha na Vero Ignatus Blog.

Na.Vero Ignatus .Manyara.

Mashindano za nyama choma yamefanyika kwa mara za kwanza mji mdogo wa Mererani wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara katika hoteli ya Mazubu Grand Hotel ambapo iliwashirikisha wachoma nyama wa mji huo kwa lengo la kukuza na kuimarisha biashara  hiyo mjini hapo

Mgeni rasmi katika mashindano hayo alikuwa mkuu wa wilaya za simanjiro ambapo aliwakilishwa na katibu tawala wa wilaya hiyo  wakiwepo viongozi mbalimbali wa serikali na wageni waalikwa kutoka ndani na nje ya mkoa huo.

Akizungumza kuhusiana na mashindano hayo katibu tawala wilaya ya Manyara   Zuena Omary ambae alimuwakilisha mkuu wa wilaya ya Manyara amesema kuwa washiriki wote wamefanya vizuri kila mmoja amejifunza kwa mwenzake ,Pamoja na yote mshindi lazima apatikane

Kwa upande wa kunogesha shughuli hiyo burudani ilitolewa mwanzo mwisho na Bendi  kutoka Jijini Arusha  ijukikanayo Kama Mjengoni Classic Band 


Aliyeibuka kidedea katika mashindano hayo ni Mazubu Grand Hotel.ambae alikuwa mshindi wa kwanza alipatiwa sh. 500,000 pamoja na cheti  namba mbili ni Given Mlay cheti na creti 6 za bia (aka mzee wa mbuzi ) na mshindi wa tatu ni Songambele bar walipewa cheti na kreti 2 za bia.









No comments