Makonda, Ruge na Tanzania All Stars wanogesha sherehe za uwekaji jiwe la msingi la mradi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga kijijini Chongolieni
Wasanii
nyota wa muziki wa kizazi kipya wanaounda kundi la Tanzania All Stars
wakijiandaa kupanda jukwaani kutumbuiza kwenye sherehe za uwekaji wa
jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini
Uganda hadi bandari ya Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha
Chongolieni kilicho nje kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti
5, 2016
Wasanii
nyota wa filamu wa Bongo Movie wakiwa kwenye sherehe za uwekaji wa
jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini
Uganda hadi bandari ya Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha
Chongolieni kilicho nje kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti
5, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaomba
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na Mkurugenzi wa Vipindi
wa Clouds FM Bw. Ruge Mutahaba wamalize tofauti zao na kuweka maslahi
ya nchi mbele wakati alipohutubia kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la
msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi
bandari ya Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni
kilicho nje kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016
Baada
ya kupatanishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na
Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds FM Bw. Ruge Mutahaba walishuka jukwaani
bega kwa bega huku wakitabasamu.
Kisha wakaelekea kwenye jukwaa la wasanii wa Tanzania All Stars
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na Mkurugenzi wa
Vipindi wa Clouds FM Bw. Ruge Mutahaba wakiwa jukwaani bega kwa bega
huku wakiimba na Tanzania All Stars

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni
wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakiwatuza Tanzania All Stars
kwa kutumbuiza vyema kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la
ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya
Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni kilicho nje
kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakiwatuza Tanzania All
Stars kwa kutumbuiza vyema kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi
la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi
bandari ya Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni
kilicho nje kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiwatuza Tanzania All Stars kwa
kutumbuiza vyema kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi
wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga
katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni kilicho nje kidogo
mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigella akiwatuza Tanzania All Stars
kwa kutumbuiza vyema kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la
ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya
Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni kilicho nje
kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016
Naibu
Waziri Mkuu wa Uganda Dkt Ali Kirunda Kivenjija akiwatuza Tanzania All
Stars kwa kutumbuiza vyema kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi
la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari
ya Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni kilicho
nje kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwatuza Tanzania All Stars kwa
kutumbuiza vyema kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi
wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga
katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni kilicho nje kidogo
mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na Mkurugenzi wa
Vipindi wa Clouds FM Bw. Ruge Mutahaba wakiwa jukwaani bega kwa bega
huku wakiimba na Tanzania All Stars.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi na Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji wakiwatuza Tanzania All
Stars kwa kutumbuiza vyema kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi
la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari
ya Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni kilicho
nje kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakisubiri kuwapa mikono wasanii wa Tanzania All Stars kwa kutumbuiza vyema kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni kilicho nje kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016

No comments