Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha na Mipango Doto James (wakwanza kushoto)akisaini mkataba wa
Makubaliano (Strategic Assistance Agreement )na Mkurugenzi wa Shirika la
Misaada la Marekani nchini USAID Andy Karas(katikati) kuhusu utoaji wa fedha
hizo dola za kimarekani 224 zaidi ya Shilingi bilioni 499 tukio lililofanyika
katika Ofisi za Hazina jijini Dar es Salaam. Wakwanza kulia ni Kaimu Balozi wa
Marekani hapa nchini Dkt. Inmi Patterson akishuhudia
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha na Mipango Doto James (wakwanza kushoto) akibadilishana mkataba ya
makubaliano (Strategic Assistance Agreement) na Mkurugenzi wa Shirika la
Misaada la Marekani nchini USAID Andy Karas katika Ofisi za Hazina jijini Dar
es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha na Mipango Doto James (wakwanza kushoto) akipiga makofi pamoja na
Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Marekani nchini USAID Andy Karas(katikati),
na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini
Dkt. Inmi Patterson mara baada ya kusaini mkataba wa makubaliano (Strategic
Assistance Agreement ) katika ofisi za Hazina jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha na Mipango Doto James akimshukuru Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini
Dkt. Inmi Patterson mara baada ya kusaini mkataba huo utakaowezesha Tanzania
kupatiwa fedha hizo.
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha na Mipango Doto James akimshukuru Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la
Marekani nchini USAID Andy Karas mara baada ya tukio hilo la mkataba wa
makubaliano katika Ofisi za Hazina jijini Dar es Salaam. PICHA-na Mpiga Picha
Wetu
No comments