RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA MHE PATRICIA SCOTLAND IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar
es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose
Migiro aliyeongozana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia
Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia
Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017 akiwa
ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose
Migiro
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini
Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017 akiwa kaongozana na Balozi
wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro.
Picha na Ikulu




No comments