VILIO NA SIMANZI ZATAWALA KATIKA UZINDUZI WA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MAJINA YA WANAFUNZI WA LUCKY VICENT32,WALIMU2,NA DEREVA 1 WALIOFARIKI KATIKA AJALI
Wanafunzi wa Shule ya Lucky Visent wakiwa katika simanzi Katina uzinduzi WA mnara wa kumbukumbu ya wenzao 32 waliofariki kwa ajali waalimu 2 Pamoja na dereva1.picha na Vero Ignatus Blog.
Mbunge wa Singinda Kaskazini Lazaro Nyalandu, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mnara wa kumbukumbu ya wanafunzi shule ya Lucky Vicente waliofariki kwa ajali mei 6 2017 eneo la Rotia wilaya ya Karatu mkoani Arusha. picha na Vero Ignatus Blog.
Wanafunzi Doreen, Sharia, Pamoja na Wilson wakiweka shada katika mnara kuwakumbuka wenzao waliopata nao ajali, wao 3 walinusurika .Picha na Vero Ignatus Blog.
Wanafunzi wa Lucky Vicent wakiwa wamemzingira mwanafunzi mwenzao Doreen Mara baada ya kuweka shada la maua,akiwa chini ya uangalizi wa Dr. Steve Mayer. Picha na Vero Ignatus Blog.
Wanafunzi wa darasa la saba katika shule ya Lucky Vicent wakiweka Masada pamoja na kuwasha mishumaa kumbukumbu kwa wenzao waliopoteza Marsha. Picha na Vero Ignatus blog.
Waalimu akiweka mashada










No comments