BI REHEMA JUMA ANAWAOMBA WATANZANIA WAMSAIDIE KUPATA MATIBABU KUTOKANA NA UVIMBE UNAOMSUMBUA KWA TAKRIBANI MIAKA 17 SASA
Bi Rehema Juma Kishena kama anavyoonekana pichani na uvimbe unaomsumbua kwa miaka 17 sasa.Picha na Vero Ignatus Blog
Bi Rehema Juma Kishena akiwa na mtoto wake wa ( 3) Sophia Dastan Mandia nyumbani kwa dada yake Levolosi mkoani Arusha .Picha na Vero Ignatus Blog.
| Mmiliki wa Blog hii Vero Ignatus (katikati) nilipotembelea nyumbani kwa dada yake bi Rehema ili kumjlia hali .Picha na Vero Ignatus Blog. |
Bi Rehema Juma Kishena akiwa na mtoto wake Sophia Dastan Mandia pamoja na dada yake bi Aziza Bakari Muyai nyumbani kwake Levolosi Mkoani Arusha.Pic ha na Vero Ignatus Blog.
Na.Vero Ignatus Arusha
Mwanamke mmoja mkazi wa Levolosi Arusha bi Rehema Juma Kishena (40)
anawaomba watanzania wenye mapenzi mema kumsaidia kupata fedha ya
matibabu kutokana na tatizo la uvimbe linalomsumbua katika shavu lake
la kulia ambalo limezunguka taktibani robo tatu ya uso wake .
Mwanamke huyo ambae ni mama wa watoto (4)amesema kuwa tatizo hilo
lilimuanza kwa jino kuumua ,akachukua hatua ya kwenda hospitalini
kuling’oa , mwaka 2001 uvimbe ulijitokeza katika jino alilong’olewa,
na kupelekea kufanyiwa upasuaji, baada ya miaka mitatu uvimbe ulirudi
tena kama awali.
‘’jino lilikuwa linaniuma nikaenda hospitalini kuling’oa ,ndipo
ukaanza uvimbe kwenye jino nililongoa nikarudi hospitalini wakaniambia
nifanyiwe upasuaji ili kuondoa uvimbe ,baada ya miaka mitatu tatizo
hilo likajirudia kama lilivyokuwa mwanzo “alisema bi Rehema.
Amesema kuwa kwa sasa hana msaada wowote kwani wazazi wake ni wazee
,hawana mwezo wa kumsaidia,yeye mwenyewe hana mume kwani alimkimbia
wati alipoona tatizo linaendelea kuwa kubwa.
“nawaombeni msaada ili niweze kujitibu kwani hali yangu kama
mnavyoiona nipo kwa dada yangu hapa ,sina msaada wowote” alisema bi
Rehema
Kwa upande wake dada yake ( Rehema )Aziza Bakari Muyai amewaomba
watanzania kushirikiana nae katika kumsaidia mdogo wake ili aweze
kupatiwa matibabu kwani hali yake inazidi kuwa mbaya kadri siku
zinavyozidi kwenda.

| Ameomba kwa yeyote aliyepo tayari kumsaidia atumie mawasiliano kwa namba 0653179373 |
No comments