Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amtembelea Rais Mstaaf wa ZFA Ali Ferej leo.
Makamo
wa Pili Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimjulia hali na
kumfariji aliyekuwa Rais Mstaaf wa Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar
(ZFA) na Makamo wa Rais wa CECAFA Ndg.Ali Ferej Tamim nyumbani kwake
katika mtaa wa shangani Unguja. alipofika kumuagali kumjulia hali yake ya kiafya .
Makamo
wa Pili Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Rais mstaafu
na Makamo Rais wa CECAFA Ndg Ali Ferej Tamim huko Shangani Mji Mkongwe
wakati alipomtembelea kwa lengo la kumtakia pole.

No comments