MHE. BALOZI WILSON MASILINGI AWA MGENI RASMI FUTARI YA PAMOJA DMV
Mwambata
wa Jeshi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani
na Canada, Col. Aldoph Mutta (kushoto) akimlaki Balozi wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi
siku ya Jumamosi June 17, 2017 siku Mhe. Balozi alipokua mgeni rasmi
kwenye futari ya pamoja inayoandaliwa na Jumuiya ya Waislam DMV (TAMCO)
Silver Spring, Maryland.
Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe.
Wilson Masilingi akipokewa na mwenyekiti wa Jumuiya ya Waislam DMV
(TAMCO) ustaadh Ally Mohamed mara tu alipowasili na kujumuika na
wanajumuiya hao waislam wa DMV na marafiki zao katika futari ya pamoja
iliyofanyika siku ya Jumamosi June 17, 2017 Silver Spring, Maryland.
mwenyekiti
wa TAMCO ustaadh Ally Mohamed akimwongoza Balozi wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi ndani ya
ukumbi.
Kutoka
kushoto ni Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania nchini Marekani na Canada, Col. Aldoph Mutta, mkuu wa idhaa ya
Kiswahili Voice of America (VOA) Dr. Hmza Mwamoyo, Balozi wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi na
The Maryland House of Delegates Legislative District 41 Baltimore City
Mhe. Bilal Ali ambaye nae alialikwa na Jumuiya hiyo kwenye futari ya
pamoja DMV.
Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe.
Wilson Masilingi na The Maryland House of Delegates Legislative District
41 Baltimore City Mhe. Bilal Ali wakiongozwa na mkuu wa idhaa ya
Kiswahili Voice of America (VOA) Dr. Hmza Mwamoyo kwenye futari ya
pamoja iliyofanyika siku ya Jumamosi June 17, 2017 Silver Spring,
Maryland.
Kutoka kushoto ni Mke wa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico mama Marystela Masilingi, Balozi Liberata Mulamula, Zawadi Sakapala na dada Jasmine wakipata futari.
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja,




No comments