Mke mdogo wa Mzee Yusuf Afariki Dunia
Chiku amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam alipokuwa amepelekwa kujifungua.
Mzee
Yussuf amesema kuwa alimpeleka mkewe hapo Amana jana saa 10 alasiri
kwaajili ya kujifungua na kwa bahati mbaya opereshini (upasuaji)
iliyofanywa jioni, haikwenda salama na ikampoteza mkewe na mtoto
aliyezaliwa.

No comments