MARAFIKI WA BAHARI WAUNGANA KUSAFISHA FUKWE ZA MBEZI BEACH
| Taswira ya Fukwe ya Mbezi Beach wakati wa usafi ukiendelea |
| Taswira za baadhi ya takataka na chupa zilizopatikana katika fukwe ya Mbezi Beach |
| Mkazi wa Mbezi Beach Beatrice aliyeungana na marafiki wa bahari katika kusafisha fukwe hizo za Mbezi Beach akiendelea na usafi mwishoni wa wiki iliyopita . |
No comments