RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA
Kamanda
wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba akizungumza na waendesha
pikipiki maarufu kama bodaboda wilaya Muheza wakati wa ufunguzi wa
mpango wa kutoa elimu waendesha bodaboda mkoani hapa ambao ulihudhurwa
na wadau mbalimbali ikiwemo madereva wa bodaboda kulia ni Kamanda wa
kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah
kushoto ni Kaimu Mkuu wa Polisi wilaya ya Muheza (OCD) ambapo aliwataka
madereva wa bodaboda kuacha kutumika kuwabeba wahamiaji haramu na dawa
za kulevya kwani watakaokamatwa hawatapona
Kamanda
wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah
akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Tanga,Benedict Wakulyamba na kulia ni Katibu wa Bodaboda wilayani
Muheza,Fransic Gerald
Kaimu
Mkuu wa Polisi wilaya ya Muheza,(OCD) akizungumza katika kikao hicho
kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto ni
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa APEC Bahati Alex
Mwakilishi
wa Mkurugenzi Mtendaji wa APEC Bahati Alex akizungumza katika kikao
hicho wa pili kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict
Wakulyamba kushoto mwenye miwani ni Kaimu Meneja wa Mfuko wa Mafao ya Wastaafu (GEPF) Erick Haule
Katibu wa Bodaboda wilayani Muheza,Fransic Gerald akizungumza katika kikao hicho
Kaimu Meneja wa Mfuko wa Mafao ya Wastaafu (GEPF) Erick Haule aliwataka madereva wa bodaboda kujiunga na mfuko huo
kupitia mpango wa bodaboda Scheme ili waweze kunufaika.
kupitia mpango wa bodaboda Scheme ili waweze kunufaika.
Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba katikati akifuatilia maswali mbalimbali kulia ni Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah
Waendesha
pikipiki wilayani Muheza maarufu kama bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba wakati wa kikao hicho
Waendesha
pikipiki wilayani Muheza maarufu kama bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba wakati wa kikao hicho
Waendesha
pikipiki wilayani Muheza maarufu kama bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba wakati wa kikao hicho
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments