MAALIM SEIF AJUMUIKA KATIKA FUTARI NA WAKAAZI WA TEMEKE
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF , Maalim Seif Sharif Hamad akiwa
amejumuika na wakazi wa Temeke katika swala ya Magharibi iliyofanyika
nyumbani kwa Mbunge wa Temeke Abdalah Mtolea ambapo alipata kujumuika
katika futari na wakazi wa eneo hilo iliyoandaliwa na Mbunge huyo
Naibu
Meya wa Manispaa ya Ilala ,Omary Kumbilamoto akiwa katika foleni ya
kuchukua futari katika futuru iliyoandaliwa na Mbunge wa Temeke Abdalah
Mtolea Nyumbani kwake Buza Kanisani Dar es Salaam.
Naibu
Meya wa Manispaa ya Ilala ,Omary Kumbilamoto akiwa katika safu ya
kuswali swala ya Magharibi nyumbani kwa Mbunge wa Temeke Abdalaha Mtolea
wakati wa futari iliyoandaliwa na Mbunge huyo
Umati wa watu uliofika katika futari iliyoandaliwa na mbunge wa Temeke Abdalah Mtolea
Mbunge
wa Temeke Abdalah Mtolea akitoa neno la Shukrani kwa watu waliojumuika
katika futari aliyo iandaa nyumbani kwake Buza Kanisani Temeke jijini
Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF , Maalim Seif Sharif Hamad akitoa neno
kwa wakazi wa Temeke jijini Dar es Salaam mara baada ya futari
iliyoanfdaliwa na mbunge wa jimbo hilo Abdalah Mtolea.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF , Maalim Seif Sharif Hamad akitoa
neno kwa wakazi wa Temeke jijini Dar es Salaam mara baada ya futari
iliyoanfdaliwa na mbunge wa jimbo hilo Abdalah Mtolea.
Umati wa watu uliofika katika futari iliyoandaliwa na mbunge wa Temeke Abdalah Mtolea
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF , Maalim Seif Sharif Hamadakiw akatika dua na wakazi wa Temeke
wakazi wa Temeke wakiwa wameketi mara baada ya futari wakisikiliza mawaidha
No comments