Rais wa Zanzibar Dk Shein Azindua Utambulishi wa Karafuu ya Zanzibar. Kusherehekea Miaka ya 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akizindua Branding ya Karafuu ya Zanzibar ikiwa ni kusherehekea
miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo ya uzinduzi wa Karafuu ya
Zanzibar kutambuliwa kimataifa umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa
Shirika la Biashara la Taifa Saateni Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi
wa Serikali na Wafanyabishara mbalimbali wa Zanzibar na Nje ya
Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz Dk Ali Mohamed
Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Badi ya ZSTC baada ya
Uzinduzi wa Karafuu ya Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa ZSTC
saateni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk. Ali Mohamed
Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa ZSTC baada ya
Uzinduzi wa Karafuu ya Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa ZSTC
saateni Zanzibar.
No comments