Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Afunguzi wa Mkutano wa Kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi Zanziba
Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mohmoud akiwa na
Waziri wa Fedha wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip I Mpango,
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt, Khalid Salum na Afisa wa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Seleh
wakisubiri kumpokea Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kufungua Mkutano wa Nchi za
Mashariki na Kusini Mwa Afrika kuzungumzia udhibiti wa Utakatishaji wa
Fedha Haramu na Ugaidi unaofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar
Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub
Mohammed Mahmoud alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort kufungua Mkutano wa Kimataifa wa kupiga Vita Utakasishaji wa
Fedha Haramu katika Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Africa unaofanyika
Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dkt. Philip I
Mpango alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beachu Resort
Mazizini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dkt.Khalid Salum
Mohammed, alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beachu
Resort Mazizini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Afisa wa Waziri ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Balozi Saleh, alipowasili katika viwanja vya hoteli ya
Zanzibar Beachu Resort Mazizini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
akiwa na viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama wakati ukipingwa wimbo
wa Taifa baada ya kuingia katika ukumbi wa mkutano kufungua Mkutano wa
Kupiga Vita Utasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi katika Nchi za
Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar kulia Waziri wa Fedha wa
Zimbambwe Hon. Patrick Chinamasa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Fedha wa Lesotho Hon. Moeketsi Majoro
kushoto Waziri wac Fedha na Mipango Tanzania Dr. Philip I Mpango , Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
Ujumbe
wa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa wamesimama wakati
wa kupigwa wimbo wa Taifa wa kwanza Waziri wa Sheria Katiba na Utawala
Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, Waziri wa Fedha na Mipango
Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.
Mawaziri
wa Fedha wa Nchi Wanachama wa Taasisi ya Kupambana na Utakasishaji wa
Fedha Haramu kutoka Nchi 18 za Mashariki na Kusini Mwa Afrika wakiwa
wamesimama wakati wa kupigwa wimbo wa Taifa.
Waziri
wa Fedha Uchumi na Maendeleo wa Zimbabwe Hon. Patrick Chinamasa akitowa
maelezo wakati wa Mkutano huo wa Mawaziri wa Fedha wa Nchi 18 za
Mashariki Kusini Mwa Afrika wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 34th kupiga
Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi, uliofanyika katika ukumbi
wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Waziri
wa Fedha na Mipango Tanzania Dr. Philip I Mpango akitowa maelezo na
kuzungumza kuhusiana na mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmin
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kupiga vita
Utakasishaji wa Fedha Haramu na ugaidi katika Nchi za Mashariki na
Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort Mazizini Zanzibar. na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Fedha wa Nchi 18
za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli
ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

Wajumbe
wa Mkutano huo wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk/ Ali Mohamed Shein, wakati akifungua mkutano huo
wa Mawaziri wa Fedha.
Ujumbe
wa Mawaziri wa Tanzania wakifuatlia Mkutaho huo wa ufunguzi wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein akihutubia.
Ujumbe
wa Mawaziri wa Tanzania wakifuatlia Mkutaho huo wa ufunguzi wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein akihutubia.
Waziri
wa Fedha wa Lesotho Hon. Moeketsi Majoro akitowa neno la shukrani baada
ya ufunguzi wa mkutano huo uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein,
katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Fedha wa Nchi za Mashariki
na Kusini Mwa Afraka baada ya kuufungua mkutano wa Mawaziri wa Fedha wa
Nchi hizo 18 uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort Mazizini Zanzibar.
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot
Zanzinews.com.
No comments