TCRA:Tumieni mitandao kwa manufaa ya Taifa
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Jones Kilimbe
Na.Vero Ignatus ,Dar es salaam
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania imefanya semina ya siku moja na wamiliki wa mitandao ya kijamii leo jijini Dar es salaam ikiwa na lengo la kuangalia matumizi salam ya mitandao hiyo ya kijamii
Akizunguza katika ufunguzi wa semina hiyo Mwenyekiti wa Bodi ya TCRA Jones Kilimbe amesema kuwa mawasiliano yamepiga hatua hadi sasa zipo Luninga za mtandaoni zipo zaidi ya 50 ambapo Luninga za kawaida zipo 35 Watoa habari kwa njia ya mtandaoni wapo zaidi ya 150.
Amesema kuwa Mamlaka ya mawasiliano inalo jukumu la kuimarisha na kusimamia vyema habari za mitandaoni ili kuleta ufanisi zaidi kwani mitandao hiyo ikitumiwa vibaya inaweza kuketa madhara katika jamii
Kilimbe mesema kuwa teknolojia hii imekuwa kwa kasinkubwa kwani taarifa zinzpatikana kwa haraka zaidinkatika simu ya mkononi hivyo mitandao itumike vizuri kwa mustakabali wa Taifa ,kwani jamii inapokea habari na kusambaa kwa haraka zaidi.
Mafunzo hayo ni muendelezo wa kampeni ya matumizi salama ya habari za mitandaoni.

No comments